Tuesday, April 24, 2012

CONFIRMED

Wasichana wengi wanaingia ujana bila uthubutu wa stadi za kufanya maamuzi kuhusu mahitaji ya afya zao katika mahusiano ya kimapenzi.
Jambo hili linaweka vijana wa kike katika hatari ya;
-kuozwa wakiwa wadogo.
-kupata mimba zisizotarajiwa.
-kuathiri afya ya uzazi.
-kuambukizwa VVU.
-kuharibiwa mustakabali wa maisha yao.

WASICHANA KUWENI MAKINI KATIKA KUFANYA MAAMUZI SAHIHI!.

No comments:

Post a Comment