Friday, April 20, 2012

KIUKWELI JAMAA NI JEMBE......

kama ulishuhudia tuzo za Kili 2012,utakubaliana na mimi kwamba Mujuni Silvery aka Mpoki ni moja kati ya wachekeshaji mahili wa Tanzania kwani kila neno alilolitoa mdomoni mwake liliwaacha hoi raia......Tasnia ya uchekeshaji Tanzania imepiga hatua kwani watu wanavaa suti but still raia wanacheka tofauti na miaka ya nyuma ambapo iliwalazimu watu wapake masizi ili raia wacheke...Big up Mpoki.........!!!!!

No comments:

Post a Comment