Floyd Mayweather Jr. atapeleka "undefeated record" yake ulingoni dhidi ya Miguel Cotto kesho usiku. Hili litakuwa pambano lake la 43 kama "professional boxer". Hakuna ubishi kua huyu prime time fighter "is one of the best
of this generation". Tunatazamia mpambano huku tukiangalia nyuma na kutazama mapambano kumi aliyowachabanga raia wengine kwa knockout.
GO MAYWEATHER......!!!!!
GO MAYWEATHER......!!!!!
No comments:
Post a Comment