Tuesday, May 15, 2012

MR BLUE NA JOINT MPYA

 

 Msanii Mr Blue aka Byser amechia ngoma mpya inayojulikana kama loose control aliyoshirikiana na Mejah.Hii ni muendelezo wa nyimbo kali kutoka kwa Byser kwani aliwahi kushine na ngoma kali kama Tabasamu ana nyingine kibao......

 

1 comment: