Friday, June 8, 2012

NAS AONGELEA KUHUSU COVER ART YA ALBUM YAKE YA 10 YA “LIFE IS GOOD”.

 




Habari njema kwa vichwa vya wapenda Hip Hop duniani kote, Nas amerudi kwenye root yake na album yake ya 10 inayoitwa "Life Is Good" ambayo itatoka tarehe 17 Julai 2012, Katika sehemu ya pili ya mahojiano na Rap-Up.com Nas alifunguka nakusema anafanya muziki ambao unaishi siku zote sio bubble gum na akaongelea pia kuwashirikisha watu ambao bado hawajulikani na Salaam Remi ndo ameshughulikia sehemu kubwa ya production. Hii album check imekutana miaka ya 1990 na mwaka 2015.

No comments:

Post a Comment