Camp
Mulla music group inayofanya poa sana kutoka Kenya ambao wamechaguliwa
kugombea tuzo za BET mwaka huu, hawatafanikiwa kuhudhuria tuzo hizo
badala yake watajua matokeo yao wakiwa mbele ya TV zao hapo hapo Kenya
kuna habari kuwa group hilo limeshindwa kufanya process ya
visa mapema, matokeo yake wakaamua kuomba special case visa wakiwa na
kichwa cha habari walichoandika "major awards show nomination" kama
sababu.
special
case visa huwa zinatolewa kwa wanaosafiri kwasababu za kimatibabu,
hifadhi za kisiasa, apointment za utawala wa kisiasa mfano diplomats.
camp mulla walijaribu kwenda mapema ubalozini kabla ya siku ya interview
lakiini waliambiwa hawawezi kufanyiwa interview tofauti na siku
waliyopangiwa
Pamoja
na hayo camp mulla wanaweza wakapata viza lakini itakua ni baada ya
show ya tuzo hizo kufanyika na washindi kutangazwa. Group hilo linaundwa
na Taio Tripper, Shappaman Kass, K'Cous and Miss Karun wakiwa ni group
la kwanza kutoka EA kuchaguliwa katika tuzo hizo.
na dj Fetty

No comments:
Post a Comment