Yes.. Shadee na Ombeni wote kutoka Clouds Tv ...'shoo luv' mmh... (kushoto) naye alikuwepo hapa akiwa katika pozi na shadee Kutoka Teenspot Magazine ... waliwakilisha kama kawa. Nasema hivi.. 'nimekuja ndani ya BBM Party 2012'…
Yes.. Shadee na Ombeni wote kutoka Clouds Tv ...'shoo luv' mmh... (kushoto) naye alikuwepo hapa akiwa katika pozi na shadee Kutoka Teenspot Magazine ... waliwakilisha kama kawa. Nasema hivi.. 'nimekuja ndani ya BBM Party 2012' mmh ..mbele mbele..'acha nipige nao kimtindo' kaka Martin umeona kuleee..Bhaaaasi sina tatizo na mtu..
KUTOKA CLOUDS TV MWANADADA SHADEE NDIYO ALIKUWA HOST WA BBM PARTY 2012 HAPA AKIMUHOJI YOUNG NELLY KUTOKA G5click.com
No comments:
Post a Comment