Baada ya miezi kadhaa ya maneno ya chini chini, sasa imethibitishwa kuwa wawili hawa ndio mabalozi wapya wa PEPSI. Tiwa Savage na Wizkid walitangazwa usiku wa jana katika exclusive event iliyofanyika Likwid ndani ya Lagos.Ikumbukwe kuwa wasanii hawa wanatisha sana pande za Nigeria....They are hot man!!!!

No comments:
Post a Comment