Friday, August 17, 2012

AJALI YA BUS LA MOHAMED TRANS BAADA YA KUGONGA LORI LA MCHANGA JANA -BUKOBA

 Bus la Muhamed lililokua likisafiri kutoka Bukoba Mjini kwenda Mwanza lapata ajali  abiria wanusurika  kifo
Ajali hiiyo mbaya imetokea asubuhi ya jana majira ya saa 1 kasorobo eneo la kyetema  umbali wa km 15 kutoka bukoba mjini
Lori la mchanga baada ya kugongwa na bus la Muhamed.
 Hali ya  Lori baada ya kubamizwa ubavuni, likitaka kukata kulia kuelekea kwenye machimbo ya mchanga ,huku nyuma likija bus likiwa spidi na kulivaa.Hata hivyo hakuna aliyefariki dunia licha ya Dereva wa lori kuripotiwa kuumia vibaya na kukimbizwa hospitali ya mkoa wa Kagera

No comments:

Post a Comment