BI KIDUDE HOI.......
Taarifa toka Zanzibar zinadai kuwa Legendary wetu 'Bi.Kidude' anaumwa sana na hana msaada wowote.
Inadaiwa
kuwa mjukuu wake alizungumza na Television ya Zanzibar na kulalamika
kuwa Bibi yake hana msaada na hivyo anamuuguza kwa shida. Taarifa zaidi
zinasema Bibi anaumwa tangu wiki iliyopita, hamna mdau hata mmoja wa
muziki aliyejitokeza kumsaidia hivyo anatoa wito kwa wadau wenye uwezo
wajitokeze kumsaidia Bibi ili apate matibabu na kurejea kwenye hali ya
kawaida.
MUNGU AWE NAWE OUR LEGENDARY
No comments:
Post a Comment