Saturday, September 22, 2012

CAMP MULLA NU ALBUM "FUNKY TOWN"

Kutoka area za 254 nairobi tunakutana na vijana ambao kwa ukweli wanafanya vizuri katika industries ya muziki hapa Africa hata nchini kwao kenya hawa si wengine nawazungumzia Camp mulla.Kundi hili linatarajia kuachia album yao mpya kitaani ambayo katika cover wameipa jina la FUNKY TOWN na wanazindua siku ya jumamosi at the Nyayo National Stadium safaricom 
SOURCE:Dj Fetty

No comments:

Post a Comment