Kutoka pande za 254
nairobi wasanii wanaozidi kupeperusha bendera ya nchi yao huko Kenya
hawa si wengine wanajulikana kwa jina la Camp mulla wamekuwa nominated
katika tuzo za M.O.B.O ambazo zinatolea nchini Uingereza.Chakushangaza
ni kwamba mashabiki wengi wa muziki wao wanasema kundi ili linafanya
mziki wa “BubbleGum” lakini tukiangalia tovuti ya MOBO
wameweza kuteuwa kundi hili la Camp mulla katika kuwania tuzo za MOBO
ambazo zitatolewa maeneo ya Liverpool Echo Arena tarehe 3 mwezi wa
Novemba mwaka huu.
Hii ndiyo list ya wasanii ambao watachuana na Camp Mulla kwenye
Category ya Best African Act.
Best African Act:
Fatoumata
Diawara
P
Square
The
Very Best
Spoek
Mathambo
D’Banj
Fally Ipupa
Sarkodi
Duncwills
Cabo
Snoop
Camp
Mulla
Amadou and
Mariam

No comments:
Post a Comment