Diamond kwenye stage sasa
akiwaambia mashabiki wake haya wale wa moyo wangu sasa tuimbe wote haya
twendeee.hiyo ni show ya diamond nchini marekani pamoja na dancer
wake.
Diamond na dancer wake
wametisha mbaya katika show yao ambayo ilikuwa inafanyika nchini
marekani Washington DC.
Diamond wa wasafi akiimba na
mashabiki wake nchini marekani Washington Dc.
WWW.ATEEN.BLOGSPOT.COM




No comments:
Post a Comment