Baada ya kumiliki gari ya kawaida aina ya Toyota
Corolla, producer na msanii wa Nigeria J Martins, ameamua kufumba macho
na kununua mikoko miwili ya gharama za kuangusha shavu chini Rolls Royce
Phantom na Mercedes Benz G-Wagon.
Rolls Royce Phantom (Makadirio ya bei
yake dola 470,295)
No comments:
Post a Comment