Cyril ni moja
kati wasanii ambao walitoa burudani ya kutosha kabisa katika serengeti
fiesta mkoani singida.
Ukitaja wasanii ambao
wana hits sana na ngoma zao katika vituo mbalimbali hivi sasa basi
Godzilla atakuwa ni mmoja wapo kwani msanii huyu hivi sasa anakibao
ambacho kinafahamika kwa jina la nataka na inafanya vizuri sana pia
nyimbo hii ndiyo imewafanya mpaka wakazi wa singida katika serengeti
fiesta kumkubali sana.
Palikuwa hapatoshi
kama unavyoona vile jinsi mashabiki wanavyopenda muziki na ndiyo maana
muonekano wa dhahabu serengeti fiesta imeamua kwenda mkoani hapo singida
kutoa burudani nzuri kabisa tunasema balida.
Msanii wa
kizazi kipya cha bongo fleva anafahamika kwa jina Stamina anajaribu
kuwaonyesha mashabiki wake wa mkoani hapo singida kwamba hapa stamina
zipo za kutosha kabisa.
Rich movoco
akiwaimbisha mashabiki wake waliofika katika tamasha la serengeti fiesta
usiku wa kuamkia leo wakazi wa mkoani hapo walikusanyika kwa pamoja na
kuja kushuhudia jinsi wasanii wao wanavyotoa burudani kali kabisa.
Ni moja kati ya wasanii
ambao wamefanya vizuri sana katika serengeti fiesta mkoani tabora sasa
baada ya muonekano mpya na dhahabu ileile kuamia singida yaani ilikuwa
ni balida alifanya wakazi wa mkoani hapo mpaka
B dozen na dj zero kweli wapo balida kabisa,







No comments:
Post a Comment