Friday, September 28, 2012

HUYU NDIO PACHA WA RICKY ROZAAAAY





Katika picha hizi tatu mmoja ni raia wa Tanzania tena yupo katika nafasi ya ulinzi wa raia, ukiacha kufanana kwao jamaa mwenyewe anajiita rozaaaaay na anachana ngoma zake mwanzo mwisho...anamkubali sana rozay wa marekani kiazi kwamba wherever he does ni Rozay mtupu...unakumbuka Ricky Rozay alikuwa ni afisa magereza kabla ya kujiingiza katika game? sasa jamaa huku nae yupo katika kazi ambayo haipishani sana na aliokuwa akifanya Rozay mwenyewe.
YUPI NI ROZAY MWENYEWE YUPI SIO KATIKA PICHA HIZO?  
SOURCE:DJ FETTY

No comments:

Post a Comment