Friday, September 28, 2012

KIM KARDASHIAN BWANA eti paka mpya....


Kim Kardashian ambaye ni girlfriend wa mtu mzima Kanye west hivi karibuni alionekana maeneo ya miami akiwa amebeba paka wake mpya ambaye amempa jina la Mercy.Sasa jina ambalo amepewa cat huyu ni kwamba Kanye west ndiye aliyempa jina hilo la Mercy.

No comments:

Post a Comment