Rihanna
Nick minaj naye ndani ya MTV
music video awards
Neyo naye aliamua kufaa nguo ya
kipekee kabisa katika red carpet ya MTV music video awards.
2 chainz naye akionekana jinsi
alivyo shine katika tuzo za MTV music video awards.
Alicia keys naye ni moja kati
ya wasanii ambao walikuwepo katika red carpet ya MTV music video awards.
Wiz khalifa akiwa na mke wake
Amber Rose katika red carpet ya MTV music video awards.kama unavyoona
hapo katika picha Amber Rose anaujauzito kwa hiyo Wiz khalifa soon
kuitwa Baba.
Tyga na Big sean wakiwa katika
red carpet ya MTV music video awards.
WWW.ATEEN.BLOGSPOT.COM







No comments:
Post a Comment