Msanii anayefanya vizuri sana
katika game la muziki wa R&B kutoka pande za state.Huyu si mwingine
anafahamika kwa jina la Chris brown.Msanii huyu siku za hivi karibuni
alionekana amepiga new tatoo katika shigo yake.tatoo hiyo ilizua sana
maneno kutoka kwa watu kwamba ni sura ya msanii ambaye anafanya game la
muziki American anafahamika kwa jina la Rihanna.
Hii ndiyo tatoo mpya ya chris
brown ambayo inasemekana kwamba ni sura ya Rihanna.

No comments:
Post a Comment