Friday, October 5, 2012

CHRIS BROWN NA KARRUECHE WATEMANA


Picha hii kipindi mtu mzima Chris brown akiwa na mpenzi wake Karrueche kabla awajaachana katika uhusiano wao wa kimapenzi kama unavyowaona wame shine.
Picha hii sasa ndipo ilileta maswali mengi sana kwa mashabiki wa muziki walijiuliza je mtu mzima Chris brown amerudiana na Rihanna katika Uhusiano wao baada ya kuonekana katika show ya Jay z ambayo ilifanya katika ukumbi wa Barclays Center.Sasa baada ya Karrueche kuona hivyo aliamua kuandika ujumbe katika ukurasa wake wa twitter

No comments:

Post a Comment