Ilikuwa ni balaa kinomanoma kwa bi mdada Wema Sepetu alipotimba stejini kumtunza X wake Diamond na mtu mzima huyo kuitolea nje mijinoti ya Wema....unajua kilichofuataaaaa?????si ikawa time ya raia kutupia ma BOOOOOOOOO!!!!!!! Ilikua noma aiseeeeee!!!!!
1
1
No comments:
Post a Comment