Saturday, April 21, 2012

IMAGINE UNGEKUA LULU.......

Imagine ungekuwa katika wakati mgumu alionao Elizabeth Michael aka Lulu aliye "Segerea" kwa tuhuma za kuhusika na kifo cha marehemu Steven Kanumba ambaye alikuwa nguli katika tasnia ya filamu Tanzania.Kesi ya Lulu inafuatiliwa kwa hamu na watanzania wengi wakisubiria hatma yake......
hii inatufunza kumuomba Mungu sana ili atuepushe na mabalaa.....U HEARD?????

No comments:

Post a Comment