Saturday, April 21, 2012

MABESTE NI BALAA...


             MABESTE
Ukisikliza wimbo wa Tena na Tena wa Mabeste utakubali kwamba jamaa ni real MC.....Mabeste amewa "prove" wrong raia waliokua wakisema kwamba hawezi kutoa ngoma nyingine kali kama Baadae Sana....ngoma ya Tena na Tena imesukwa na Pancho Latino wa Bhits...Pancho pia amepewa "salute" na nguli wa kunyonga beats Afrika mashariki na kati P Funk "Majani" aliyenukuliwa akisema kuwa Pancho ndiye alistahili kunyakua tuzo ya prodyuza bora katika tuzo za Kili,tuzo iliyonyakuliwa na Maneke kutoka AM RECORDS.

No comments:

Post a Comment