...Diamond akifanya vitu vyake, akiwa amevalia
staili ya US Marine.
...ilikuwa ni shoo iliyopandisha mzuka wa
mashabiki kupita kawaida…
....Diamond na dancers wake kazini..
...katika shoo zote za Dar Live, Diamond
amevunja rekodi ya idadi ya mashabiki
...Diamond Full mzuka!
...hii ndivyo ilivyokuwa Dar Live usiku wa
kuamkia leo!
...dancers wa Diamond wakifanya vitu
vyao:
WAFUATAO NI WASANII WALIOMSINDIKIZA
DIAMOND PLATINUM:
Bwana Misosi....
...Wakali Dancers
...licha ya mvua kunyesha wakati fulani,
mashabiki hawakukubali kuondoka bila kumuona Diamond!
.....licha ya kimvua, burudani ziliendelea
kama kawa...Michael Jackson wa Bongo akifanya vitu vyake
.....msanii Tumbulo akiingia kistaili
jukwaani
.....Timbulo akifanya vitu na dancers
wake
....Timbulo akiwa juu ya jukwaa..
...wasanii wa Pah One, Watanzania wenye
maskani yao Afrika Kusini wakifanya vitu vyao
...mmoja wa wasanii wanaounda kundi la Pah
One
....mashabiki wakiwa full mzuka!
HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA SAFARI HELIKOPTA YA DIAMOND MBAGALA DAR LIVE JUZI
Jana ilikuwa ni siku ya kihistoria kwa msanii aliye hot Bongo
kwa sasa na kinara wa tuzo za Kili 2012, 'Diamond Platinum'. Alifanya shoo ya
kihistoria kwenye Uwanja wa Taifa wa burudani, Dar Live, uliyoko Mbagala jijini
Dar es salaam kwa kwenda na helikopta, akiwa msanii wa kwanza nchini kufanya
hivyo. Hapa anaonekana akiwa Uwanja wa Ndege Terminal One akielekea kwenye
Helikopta tayari kwa safari
....akisindikizwa na Rubani wake kuelekea
kwenye helikopta
....akitoa 'saluti; kabla ya ndege kupaa
kuelekea kiwanja cha Dar Live, Mbagala
.. .Helikopta ikiwa mita chache juu wa Dar Live ikizunguruka,
ambapo Diamond alisalimia mashabiki akiwa angani kwa kutumia 'Wireless
Mic'
.....Platinum akitua katika uwanja wa Dar
Live!
....mashabiki wa Diamond wakionekana kupagawa
kwa furaha baada ya kutua na kumuona
....Diamond akiwa ndani ya Mercedes Benz mara
baada ya kutua





























No comments:
Post a Comment