Monday, April 30, 2012

CREDITS TO AY

New Look 2012
Ambwene Yesaya,AY,hakika ni msanii wa Tanzania anayeongoza listi ya wasanii walioupeleka muziki wetu kimataifa.Jamaa amefanya colabo nyingi na watu kutoka nje kama,Ms Triniti,Psquare,Romeo na wengine wengi.Wasanii wengine waige mfano wake kwani amefungua njia....Big up AY!

No comments:

Post a Comment