Ama kweli penzi ni kikohozi kulificha huwezi! Habari inayotamba kwa
sasa ni kuwa baada ya kujitahidi kuficha uhusiano wao kwa muda mrefu,
mwanzoni mwa wiki hii uzalendo ulimshinda Diamond na kujikuta akiweka
kweupe kuwa ni kweli Jokate ni wa kwake.KWENYE MTANDAO WA BBM
Diamond alitumia mtandao wa BBM kuthibitisha kuwa anampenda Jokate kupita maelezo ambapo aliandika ‘No wan can take your place Kate..I love you so much my baby..’, jambo lililoibua mshtuko kwa waliyoona maneno ya Diamond ambaye bila shaka ndiye msanii namba moja kwa sasa Bongo.

HABARI ZASAMBAA
Baada ya Diamond kuweka maneno hayo, ghafla habari hiyo ilisambaa kama moto wa kifuu kwenye mitandao mingi ndani na nje ya Bongo huku ikipokelewa kwa hisia tofauti.
Kuna waliowapongeza na kuisifia ‘kapo’ yao lakini kuna walihoji kuwa mbona walikuwa wakibisha kuwa hawana uhusiano wa kimapenzi huku Diamond akimuita Jokate dada.

HAYA!..........!!!!!!!!
No comments:
Post a Comment