Friday, April 27, 2012

DIAMOND AKAGUA HELKOPTA ATAKAYOSHUKA NAYO STEJINI DAR LIVE.


Diamond akiwa na wasanii wa kundi la Pah One wakielekea uwanjani.
Diamond akiwa juu ya helkopta.
Diamond akiwa na wasanii wa kundi la Pah One juu ya helkopta.
Picha ya pamoja kuonesha swaga za kiburudani.
Kapteni wa helkopta hiyo, Nasser akisalimiana na Diamond. 
 Nassib Abdul ‘Diamond Platinum’ leo alikuwa Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere kukagua helkopta atakayoshuka nayo Jumapili hii ndani ya Ukumbi wa Dar Live, Mbagala Zakhem.Huu ni mfano wa kuigwa kwa wasanii wa Bongo.Ubunifu  unatakiwa ili kufanya shoo zitakazowavutia mashabiki wenu.Big up Diamond.......

No comments:

Post a Comment