Thursday, May 10, 2012

IZZO B NA JOINT MPYA.....

Mkali wa kuongea na washua Tanzania,Izzo Bizness,ameachia ngoma mpya inayokwenda kwa jina la "Mwaka Jana" .Wimbo huu umetengenezwa na prodyuza bora wa mwaka 2011/2012,Maneke...iskilizieni people....

No comments:

Post a Comment