Aiyekua msanii wa kundi la B2K Omarion amesaini mkataba na kundi la Maybach Music Group.Msanii huyu anadai kuwa hakutegemea kama angesaini mkataba na kundi hili,na ilitokea kama accident baada ya yeye kumfuata Rick Ross na kumuomba wafanye kolabo ambapo Rick alimwambia kua anataka kumsaini katika label ya Maybach.
Omarion aliendelea kwa kusema kuwa tayari wameshafanya ngoma kadhaa na Rick na zitaanza kusikika muda mfupi toka sasa.

No comments:
Post a Comment