Wednesday, August 15, 2012

ALICIA KEYS KWENYE MOTO NA “GIRL ON FIRE” ALBUM




Mke wa mkali wa kutengeneza beats za hatari mfano ngoma ya “Power”  by Kanye West feat. Jay Z na ”Empire State of Mind”  ya Jay z feat Alicia Keys mwanadadiva mshindi wa tuzo ya Grammy  Alicia Keys ametangaza rasmi jina la album yake ya 5 inayoitwa “Girl on Fire” mwanadada ameamua kuwasha moto ndani yake na album ya “Girl on Fire”.

No comments:

Post a Comment