Jokate akiwa na Banky W
Wyre kutoka kenya naye ndani ya show kali iyofanyika nchini kwao kenya iliyoletwa na channel O.
Dj mfalme akionyesha skills zake kwenye moja na mbili kwenye part ya channel O iliyofanyika nchini kenya
Prezzo akiwa na Goldie katika show ambayo iliyoandaliwa na Crew nzima ya Channel O ambayo ilifanya vitu vyake nchini kenya wiki iliyopita.
Camp mulla wakifanya vyao katika show iliyoandaliwa na Crew nzima ya Channel O nchini kenya.
Banky kutoka upande wa kushoto akifuatiwa na upande mwingine Wizkid (wapili kulia) na VJs wa Channel O.









No comments:
Post a Comment