Thursday, September 20, 2012
XCALIBAR AFANYA COLLABO NA STELLA MWANGI
Kutoka nairobi code za 254 msanii chipukizi anayekuja zile level kali katika upande wa freestyle battle usimpimie anafahamika kwa jina la Xcalibar ambaye alikuwa ni moja katika ya vinjwa sita ambavyo vilifanya vitu vya ajabu sana siku ya finali za nokia Asha Dont Break The Beat najua ndugu zetu walioenda huko kutuwakilisha nawazungumzia Ally Chuma na Njema mtandika watakuwa wanamjua zaidi jinsi anavyopiga freestlye za kutosha pale kati .Japokuwa sio mbaya Tanzania tulichukua nafsi ya pili kwa Ally Chuma.Sasa habari ambayo nimeipata ni kwamba mtu mzima Xcalibar afanya collabo na msanii anayetamba na pini kali hapa Africa linajulikana kwa jina la lookie lookie huyu si mwingine namzungumzia Stella Mwangi.Hiki ni kitu kizuri sana kuamua kufanya collabo na wasanii kama hawa japokuwa Xcalibar ni Underground na anataka pia afanye mapinduzi mazuri katika nchi yake kwenye masuala ya muziki.
Hapo chini ni video ya Xcalibar akielezea ni kitu gani amepanga katika kazi zake za muziki na mambo mengine baada ya kuwa mshindi wa freestyle Nokia Asha Dont Break The Beat.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment