Leo stori iliyoandikwa
na mtandao wa Naijagists inamuhusu mwanamke anaedai kujifungua mtoto
aliezaliwa kama binaadamu lakini ana miguu na tumbo kama la mbuzi.
Hili tukio limetokea sehemu inaitwa Jahun, Jigawa State, Nigeria ambako huyu mtoto amezaliwa akiwa hana shingo pia.

Hili
ni tukio la sept 11 2012 ambayo huyu ndio farasi ambae inadaiwa
mwanamke mmoja huko Nigeria anaedaiwa kumzaa ghafla akiwa kanisani baada
ya maombi kuwa makali.
Mama wa huyu mtoto anasema hii ni mara ya nne yeye kujifungua watoto wenye maumbo ya ajabu.

No comments:
Post a Comment