Tuesday, September 25, 2012

KANYE WEST KULA SAHANI MOJA NA MTU ALIYEIBA NA KUUTOA MKANDA WAKE WA NGONO

Week iliyopita Kanye Omari West alias Kanye West alikumbwa na mkasa wa  baada ya mtu asiyefahamika kuweza kumuibiaa “mkanda wa ngono” kwenye Computer yake na kujaribu kuiuza.
Latest infoz ni kuwa tayari kumeanza kuzagaa mkanda mwingine wa ngono wa Kanye West. Huo mkanda wa pili unataka kufanana na ule wa kwanza japo wa kwanza ulikuwa una dakika 20 na huu mpya una dakika kama 40 hiviii. Inasemekana Kanye West alijirekodi wakati anafanya mapenzi na wapenzi wake wa zamani miaka kadhaa iliyopita.
Chanzo kimoja kinasema, West mpaka sasa hana uhakika muuzaji huyo wa mkanda wake wa ngono aliupata vipi mkanda huo, ila ana mipango ya kumchukulia hatua kali za kisheria mtu huyo na mtu yoyote atakayeu-publish.
Mwanasheria wa Kanye, Lisa M. Buckley, ametoa statement kwa kwa mtu antakayehusika na usambazaji wa tape hiyo kwa kusema: “were illegally obtained and believed to have been stolen from Mr. West’s computer. Posting, advertising, marketing, displaying and otherwise disseminating the stolen screen shot and or other materials or tape are actionable violations of Mr. West’s rights of privacy and publicity.”

No comments:

Post a Comment