Monday, April 30, 2012

OBAMA AMPA SHAVU YOUNG JEEZY


Mkali wa ngoma ya “My President ” Young Jeejy amepewa shout out  na prezidaa wa Marekani Barrack Obama wakati akitoa speech Ikulu huko Washington D.C katika chakula cha usiku na waandishi.
“Kipindi cha kwanza niliimba Al Green, Kipindi cha pili, ntaimba Young Jeezy” alitania POTUS kabla ya kuridi kwa first lady Michelle Obama “ Namuimbiaga hiyo saa zingine” alisema Obama.

Jeezy alitweet  na kuandika“shout out to @BarackObama” . Young Jeezy alirekodi ngoma  ya "My President" kipindi cha campaign za Obama kwa ajili ya urais mwaka 2008.

No comments:

Post a Comment